Wale waliosoma advanced physics, subtopics gani zilikusumbua sana?

Wale waliosoma advanced physics, subtopics gani zilikusumbua sana?

Circular motion maswali yake yamenitoa jasho kichiz

Newton hii sikuisoma kabisa
 
Uniform Circular motion
Rotation of rigid bodies
Muda wa kuielewa mechanics yote kwangu ulikuwa mdogo kuliko uhalisia. Unaona umeelewa ukiletewa swali jipya chali....
 
Ujui mambo ww phy mechanics hyo....
Properties of matter branch zake
Elasticity
Surface tension(pasua kichwa)
Kinetics theory of a gas
Tuwe na staha kwenye kukosoana jaman wengne wamesoma hvyo vitu nyie mkiwa bado mnakaririshwa table primary skul haya mambo yana vapour usijilinganishe nae ww wa 2010+
 
Physics nlikua naipenda sana. Lakini so far haijanisaidia chochote [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Uniform Circular motion
Rotation of rigid bodies
Muda wa kuielewa mechanics yote kwangu ulikuwa mdogo kuliko uhalisia. Unaona umeelewa ukiletewa swali jipya chali....
Hivi ni kweli staili ya kuuliza maswali kwenye paper imebadilika , yaani siku hizi ngweni nyingi kuliko calculation kama zamani ?
 
Umeelewa sema unajifanya mjuaji unabahat nimefunga kama unakosoa uandishi kosoa sio unajifanya mjuaji mdhuti ghako
ndio hao eti wanakwenda chuo kikuuu, ndio graduate wetu watakao toka kesho!
 
Back
Top Bottom