Wale walinda BRAND mnakaza sio?🔥

Wale walinda BRAND mnakaza sio?🔥

Saa ingine unaeza dhani unalinda brand kumbe upo mwenyewe, mwenzio kakukaushia sio kwamba analinda brand au anakufanyia makusudi, bali ni kwamba wewe sio kipaumbele kabisa kwenye maisha yake, hata kichwani kwake mda mwingi haupo, kiuhalisia unaeteseka ni wewe, mwenzio wala hana hata habari Depal
We linda brand, ye atajua mwenyewe na hayo mengine
 
1. Siku ya kwanza mnaona kawaida tuu Kila mtu anahisi mwenzake atamtafuta. kisanga kinaanza siku ya pili ya ukimya.

2 : Siku ya pili inaisha hapo Kila mtu anaanza kupata wasiwasi, Kila mtu anajiuliza maswali mengi

3: Wote mnaanza kuishiwa Raha, notification zikiingia unafungua haraka, unakuta Airtel wamekuambia Airtel watawasiliana na wateja wao kupitia namba 100 tuu.

4: Mnafatiliana kimya kimya
Yan unafatilia Kila anachopost na yeye anafatilia sana ila hamtafutani

5: Mood itapotea hupati usingizi unamuwaza huskii hamu ya chakula, na yeye ni hivyo hivyo
ila mtafanyaje Sasa si mmeamua kulinda Brand.

6: Usiku Kila mtu
anamuwaza mwenzie huyu mbwa atakua ananicheat

7 Kila mtu anatafuta campan ili apunguze mawazo, lla ukiisha achana na hiyo campan moto upo pale pale.😂

8: Kila mtu anajilaumu kimya kimya, Kila mtu anasema labda ningemtafuta tusingekua hapa.

9: mnakuwa na hasira na upendo kwa wakati mmoja Unamkumbuka... lakini bado unaumwa
Unampenda... lakini hutaki kuonekana dhaifu.

10. mmoja anaishiwa pawa anaamua tuu kumtafuta mwenzake anaona yanazungumzika

😂😂😂🔥🔥
huu ni ukweli wote
 
Saa ingine unaeza dhani unalinda brand kumbe upo mwenyewe, mwenzio kakukaushia sio kwamba analinda brand au anakufanyia makusudi, bali ni kwamba wewe sio kipaumbele kabisa kwenye maisha yake, hata kichwani kwake mda mwingi haupo, kiuhalisia unaeteseka ni wewe, mwenzio wala hana hata habari Depal
Ni mbayaa
 
kwenye mahusiano bila mmoja kujishusha hakuna mahali hayo mahusiano yatafika, ni sawa ndani ya familia lazma unyenyekevu uwepo vinginevyo ugomvi hauta kaa uishe.

BRAND hizo ni kwaajili ya vijana wadogo ambao wapo tu bado kwenye stage ya hit and run ila kwa upande wa familia lazma mmoja ajishushe mzani uweze kubalance

napia nna wasiwas sana hao walinda brandy ndo watu wa CHAPUTA [emoji2] .
Una hoja, usikilizwe.
 
Nafikiri huwa inatgemea na wakati, wahusika, sababu etc.
 
Kulinda brand noma mtu anakaza mwisho wa siku anakutafuta umletee kitu fulani
 
Back
Top Bottom