Wale walinda BRAND mnakaza sio?šŸ”„

Wale walinda BRAND mnakaza sio?šŸ”„

Huwa napitia comments zako, na misimamo yako naona kabsa hakuna yoyote wa kukuyumbisha hasa kwenye mahusianošŸ”„šŸ˜€

Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe
Ogopa matapeli🤣🤣
Yaani huyo anapelekeshwa na mashirima kama toroli.
 
Na hii inaua ndoa nyingi, kulinda brand!! Kiburi na kutojishusha ni number one killer ya ndoa zetu.
Yaani watu wapo kwenye ndoa then wana Linda brand !? Hao itakuwa bado ni watoto Akili hawana šŸ˜„
 
Imerahisishwa! Sasa unaweza kutuma pesa kwenda MTN na Airtel Uganda kwa gharama ndogo kuanzia Tsh 2,000 ukitumia NMB Mkononi App. #DhumuniHalinaMipaka
Akuuuu! Mie kwakweli hayo mambo siwezani nayo, nitamtafuta tu. Mengine atajua mwenyewe na malezi yake mabovu🤣🤣🤣
 
@Bushmammy mbona ume dislike coment yako hapo juu?
 
Back
Top Bottom