Wale walinda BRAND mnakaza sio?🔥

Wale walinda BRAND mnakaza sio?🔥

Hii nadhani michezo yako😀😀
Kwani ukijishusha ?😀
Haifai kujishusha zaidi ya mara mbili
IMG_1751.jpeg
 
Kulinda brand muhimu.. akijifanya cake we kuwa icing sugar tu. Atakae surrender atamuanza mwenzake 😂
Saa ingine unaeza dhani unalinda brand kumbe upo mwenyewe, mwenzio kakukaushia sio kwamba analinda brand au anakufanyia makusudi, bali ni kwamba wewe sio kipaumbele kabisa kwenye maisha yake, hata kichwani kwake mda mwingi haupo, kiuhalisia unaeteseka ni wewe, mwenzio wala hana hata habari Depal
 
Back
Top Bottom