Wale wakongwe wa PS2 mnaikumbuka hii game?

Wale wakongwe wa PS2 mnaikumbuka hii game?

Hahahahahahhahhaaaa looh, mie sikucheza hizo game maana wakati wetu zilikuwa hazijatoka bado. Na umenikumbusha mtu wangu mmoja hivi, anaitwa Albert To-mba.......

Umenitamnishaa....... hehehehee
Kasie ukuje huku jikoni kama una njaa.
 
Back
Top Bottom