Wale wajuzi wa ngeli, nipeni english version ya sentensi hii

my father,in the order of your children,which number do I stand?
Tatizo la wengi ni kutaka ku-translate neno kwa neno na pia kutaka kutumia kanuni za kiswahili kwenda kiingereza. Hilo litakuletea sentensi mbovu. Mimi naona mtoto anaweza kuuliza ''Dad, how many siblings did I have before me when I was born''
 
Back
Top Bottom