The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,375
- 6,655
Mabdiliko ya hali ya tabia ya nchi inayotokana na shuhuli zakibinadamu. Huko tuendako ni hatari kuliko sasa maana kuna kitu kinaitwa eco system, sasa mmoja katika system akianza kupote husababishwa mazingira ya mwingine kuwa magumu na mambo kubadilika.