Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
hiv unajua baridi la mbeya mi nimekomaa nalo miaka miwili bila sweta
duh! teh teh teh! we muongo, mi nimesoma iringa miaka minne yani unapigilia masweta but still inapenya! hadi skin colour ilibadirika!