Wale wa udsm mnaikumbuka September Conference?

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
527
1,101
Miaka hiyo kulikua na kitu inaitwa September conference. Mwezi wa tisa kwenda kusapua pale mlimani.
Haijalishi uko wapi na uko vipi kiuchumi inabidi upambane ukasapue.
 
Kuna coz moja ya Linguistics nilipata sup na nikashindwa kuichomoa ikabidi ni carry over mwaka wa tatu, aisee nikienda kule rombo kuhudhuria lecture nilikua naona noma kusoma na madogo....
 
UDSM Kuna kozi inaitwa Linear algebra and application
Aloo nilirudi sap, alikuwa anafundisha Koloseni
 
Wanachuo wakisup siku hiz wanalalamika mitandaon media zinapiga kelele,wanasiasa wanaunda kamati kuchunguza kwann wanasup,Kwa kuona hivyo hakuna sup sikuhiz,pili wogawa serikali kupoteza Hela Kupitia heslb vyuo wanalazimisha kufaulisha tu,wakija kupata AJIRA utafikir katokea form two na tatu,malecturer wamelemewa na utitiri wa wanafunzi vyuoni,form six wanafaulu wote wanafunzi wamejazana kama wote,Yann usahihishe paper mbili Kwa kujitesa,Bora uwafaulishe wote upumzike.
 
Tanzania ata akija malaika kuongoza still atutoboi tena hii generation ya leo sijui !
 
Back
Top Bottom