Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,326
- 2,942
Yaaani mtu ako na first class GPA ya 4 unamuacha kwenye shortlisted?
Hii haikubaliki.
Kwa kweli mtu anaweza kuwa na hiyo GPA kubwa lakini uandishi ukawa kama "MTU AKO..." hata kama mimi ndio HR kiukweli nitakuwa na kila sababu ya kumuacha huyo mtu.
