kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,733
- 25,543
GPA kubwa anaweza akawa kuna taarifa alishindwa kuziattach kwenye portal hivyo akawa disqualified.In the first place ukiwa bado hujawa interview kigezo kikubwa cha kuchuja upate shortlisted ni GPA miongoni mwa waombaji.
Mwenye GPA kubwa anapaswa kupewa kipaombele when other things remain constant.
Huwezi kumuacha kwenye shortlisted mwenye first class ukamuweka Mwenyezi second class kwa sababu gani ya msingi Kwa mfano?
Haingii akilini hata kidogo.
Serikalini mambo ya GPA hayapo.labla uwe mkufunzi au researcher ndio wana hayo mambo.

.