Jifunze kufanya mambo Kwa umakini kuepuka dosari ndogondogo, inaonekana ulifanya vitu kizembe ukategemea GPA ikubebe kumbe siyo.
Kuna chuo Cha SUA na chuo Cha st.john na vyote vinatoa tuseme bachelor of science in whatever field. Sote tunatambua jinsi vijana wa SUA tena vichwa hatari wakisotea kupata hata lower second class maana kupata upper second class au first class Kwa SUA wanasema ni kujidanganya.
Sasa mwanafunzi huyu wa SUA uwezo wake ni mkubwa sana lakini ana GPA ndogo na huyu wa St.John tunajua ni kihiyo lakini ana GPA kubwa, unadhani kigezo Cha GPA kinatakiwa kutumika?
Achana na issue za GPA kwenye ajira ukija kuujua ukweli utalia machozi yasiyokauka, Cha kufanya Songa mbele.