Wale wa SHYCOM mpoo

Fisherscom

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,763
764
Siku zinapita na miaka inaenda,iwapo kuna member toka Shinyanga Commercial Institute humu ndani 2kumbukane jamani. safari za 'USHI',mambo ya 'mlingoti'.... Nasikia imekuwa ni chuo cha ualimu sasa,2habarishane!!!!!!
 
Do mzee lini hiyo ulikuwa hapo mi nakumbuka wa SHYBUSH sijui wapo kweli anyway shycom walikuwa jirani sana wkt nikiwa BULUBA. umenikumbusha mbaaaaaaali
hesima mbele mwanajamvi
 
Shukran mkuu! nilikuwa SHYCOM miaka ya 1997-99. Shybush walikuwa nje kidogo ya mji wa Shinyanga. Buluba nao tulikuwa nao jirani sana. We ulipita pale miaka gani,uko wapi sasa na unashughulika na nini mkuu?
 
Do mi nilikuwa Wigehe miaka hiyo pale SHYCOM nilikuwepo mara kadhaa kwenye mashindano ya DEBATE KWA MKOA WA sHINYANGA
 
Unamkumbuka Mwl Mwita na Jogging asubuhi na je nyie kipindi chenu mlikuwa na barafu ? i was there in 1995 1997
 
"Shycom chuo chetu kwa masomo yetu ya biashara shyinyanga mahali pake" wimbo wa chuo unakumbuka zaidi ?
 
Siku zinapita na miaka inaenda,iwapo kuna member toka Shinyanga Commercial Institute humu ndani 2kumbukane jamani. safari za 'USHI',mambo ya 'mlingoti'.... Nasikia imekuwa ni chuo cha ualimu sasa,2habarishane!!!!!!

Mkuu milingoti ilikuwa imetulia maana baada ya kupiga buku lazima una refresh kwa kwenda mbele !
 
Eti mwalimu mkuu ShyCom (Shinyanga Commercial Institute) mwaka 2002 alikuwa nani?
Anyone to assist please !!
 
Back
Top Bottom