Wale wa Post ya HR JIA tujuzane hili

svoca

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
373
69
Jamani binafs napata utata ni wapi tunaenda kufanyia usaili ktk hii taasisi?maana tangazo lao sekretariat wamesema ktk ofis zao,so ni huko lushoto au wana ofis Dar? Tujuzane please!
 
Interview inafanyika Lushoto Tanga pale chuoni kuanzia tarehe 16/9/15

Mkuu huko lushoto nimenyoosha mikono watakao jaliwa waende tu mi pia wameniita assistant internal auditor nafasi yenyewe moja watu nyomi plus nauli na malazi nikweli ajira ngumu jamani dah
 
Mkuu huko lushoto nimenyoosha mikono watakao jaliwa waende tu mi pia wameniita assistant internal auditor nafasi yenyewe moja watu nyomi plus nauli na malazi nikweli ajira ngumu jamani dah

Pole sana kaka yangu,katika kitu utumishi hawajafanikiwa ni kufungua kanda za usaili ,kiukweli ni gharama sana na hilo halina ubishi kabisa.
 
Back
Top Bottom