robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,142
- 3,337
ila zote zilikuwa zinatumia betri (mawe) ya NATIONAL SPECIAL baadaye zikaitwa NATIONAL HYPER baadaye (hadi sasa) PANASONIC SPECIAL. japo huko awali ziliibuka ABC zikiwa na vifuniko vya plastiki kwenye terminal za +. ngoja mafundi watumie fursa. tupia kisa kama unakumbuka....... . uzuri wa NATIONAL SPECIAL ndani ya radio za national zilidumu zaidi ya miezi 6. zikianza miluzi mnazichemsha au kuzipondaponda hadi zinabonyea na kuanika kisha zinawekwa na kudunda mzigo kama jadi. mnasogeza bajeti lau wiki mbili. ngoja ya kale yaitwe dhahabu. simulizi za kuvutia za PLAYER kiukweli kutoka chini ya sakafu ya moyo wangu sizijui maana aliyeimiliki ni familia za hali ya juu sana tulizoea kuziona kwenye sherehe pekee. mwenye picha na maelezo atupie tujiliwaze kwa enzi na wajukuu wa JF wapate kujifunza. cheza na sub woofer lkn it will never be the sane againHalafu redio yenu kumbe ilikua bendi mbili tu... Sisi tulikua na redio ya bendi nne..!!!
Nyamaza wewe, miaka ya tisini juzi sana mbona?ebwana wee. miaka hiyo 90's ikikung'uta RTD masafa ya am. utamsikia shabani kisu, sarah dumba, tumbo risasi na vipindi vya kuvutia kama mazungumzo baada ya habari, michezo, majira. masafa ya sw ilinasa barabara kbs nairobi. namkumbuka mtangazaji wa mbwembwe leonard mambo mbotera akitamka KBS NYAIROBIII!!!! ebwana weee ya kale ni dhahabu.
Bila kumsahau Jack oyoo SylvesterBaada ya kale kawimbo/mdundo ka KBC kuelekea taarifa ya habari unasikia "Msomaji ni Leonard Mambombotela" siku nyingi sana aisee sijui huyu mzee bado yupo
Anaitwa Leonard mambombotelaJe? Huniungwana na jeladi. mambombotela.
Kipindi cha chemsha bongo na misanya bingiradio one ipi? ni hii ya ipp media? kama ndiyo niliipenda kwa vipindi murua: mtaa wa mangoma, chalanga, mtangazaji mahiri miaka ya 2001: abubakar sadid (alivuma huyo, aling'aa kwa nafsi za warembo mh. zaidi alikuwepo maulid kitenge ktk sport leoooo! na kipindi chao cha kipusa, anko julius nyaisanga akichambua mambo mseto (nilisikia alitutoka Mapenzi ya Mungu yatimizwe), charles hilari, mareheme amina chifupa. baadae akaingia abdallah mwaipaya abd sasa namuona itv. kiukweli zamani hazikuwa taaluma tu bali vipaji. saivi watangazaji wengi hawana mvuto wala ubunifu wa kuiteka akili ya msikilizaji. bali mbwembwe na michosho tu. wasikikizaji tunalenga vipindi malum tu km taarifa, zilipendwa na michezo basi.
Jamani 90's Radio One Fm stereo ilikuwa ishaanza, ITV ilikuwa ishaanza vile vile music systems za cd changers zilikuwa zishaanza kupatikana hadi kariakoo! Redio hizi 277 labda tuzungumzie 80's kurudi nyuma.ebwana wee. miaka hiyo 90's ikikung'uta RTD masafa ya am. utamsikia shabani kisu, sarah dumba, tumbo risasi na vipindi vya kuvutia kama mazungumzo baada ya habari, michezo, majira. masafa ya sw ilinasa barabara kbs nairobi. namkumbuka mtangazaji wa mbwembwe leonard mambo mbotera akitamka KBS NYAIROBIII!!!! ebwana weee ya kale ni dhahabu.
Hii ndio REDIO YA MKULIMA? Kitambaa chake cha kuifunikia kiko wapi?!!Naomba msaada hapo wa ku-tune TBC au Radio One Stereo kwa Short Wave (SW), nime-mis kinoma haya masafa!!View attachment 473797
Hata kwenda kwenye vipimo mtu unaenda kimyakimya, kuchukua majibu ndo mtihani mkubwa zaidi... Ama kweli Mungu katuweza. Haka kaugonjwa amekategeshea sehemu matata sana...
....inaelekea wewe ni wa miaka ya karibuni..ndo nini hiyo simu au
ila zote zilikuwa zinatumia betri (mawe) ya NATIONAL SPECIAL baadaye zikaitwa NATIONAL HYPER baadaye (hadi sasa) PANASONIC SPECIAL. japo huko awali ziliibuka ABC zikiwa na vifuniko vya plastiki kwenye terminal za +. ngoja mafundi watumie fursa. tupia kusa kama unakumbuka....... . uzuri wa NATIONAL SPECIAL ndani ya radio za national zilidumu zaidi ya miezi 6. zikianza miluzi mnazichemsha au kuzipondaponda hadi zinabonyea na kuanika kisha zinawekwa na kudunda mzigo kama jadi. mnasogeza bajeti lau wiki mbili. ngoja ya kale yaitwe dhahabu. simulizi za kuvutia za PLAYER kiukweli kutoka chini ya sajafu ya moyo wangu siizijui maana aliyeimiliki ni familia za hali ya juu sana tulizoea kuziona kwenye sherehe pekee. mwenye picha na maelezo atupie tujiliwaze kwa enzi na wajukuu wa JF wapate kujifunza. cheza na sub woofer lkn it will never be the sane again
Radio one na ITV sio 94 kweli?Jamani 90's Radio One Fm stereo ilikuwa ishaanza, ITV ilikuwa ishaanza vile vile music systems za cd changers zilikuwa zishaanza kupatikana hadi kariakoo! Redio hizi 277 labda tuzungumzie 80's kurudi nyuma.
94 ndio 90's hizo.Radio one na ITV sio 94 kweli?