wengine hawapendi kujulikana kwani
wanajua kuwa waonwa na wengi
na kukimbiliwa shosti hivyo furahia weekend yako
au ungejitosa.
![]()
We huhitaji aisee?
Sent from Mchina
kanitumia na profile picture yake ya facebook.
![]()
ATAKUWA JERRY Msigwa huyu hebu mcheki kwenye avatar yake pale juu
uone na hapa alivyo
ila mamito kiukweli kabisa huyu ndugu yangu kwa wewe hakufai kabisa
mpotezee maili mia yaani hata usimjibu hizo text zake
maana atakuabisha bure ukienda naye SERENA HOTEL pale
mana naona wa upcountry huyu na hilo pozi utadhani ni karne ya 18
Wandugu naombeni ratiba ya leo! sina hata bati