Wale Wa Ijumaa Niaje

Wale Wa Ijumaa Niaje

Filipo naye alishakukimbia akamrudia mke wake wake wa awali aitwaye marejesho, mwaka huu utajibeba!!!!!!
Arushaone unajua mimi sitaki kuwa attached kwa mtu. napenda kuwa free. Nimepokea maombi mengi sana kutoka kwa members humu but naogopa coz mimi napenda ijumaa kutoka na yeyote mwenye uwezo wa kunipa raha tu
 
Last edited by a moderator:
my player boy BAGAH is back
 
Last edited by a moderator:
Hehehe.... vivian unataka bati?.mm nakupiga jigae kabisaa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
BAGAH ulikua wapi? na huko ulikotoka dada zetu wamepona kweli? yaani wewe sijui nikufanyeje utulie

Usinitibue nisije nikarudi tena maana nimeshapamiss..... ila na ww mama umeenea mno historia yako nimeipata...teeh
 
Last edited by a moderator:
heee ijumaa ilopita ilinipita kweli asiyekuwepo na lake halipo....sim ilitumbukia chooni vivian
mimi49 pole.

images


kweli kuitoa hapo ni Ngumu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom