Boyz II MenMmoja huyo msaidizi msekwa sijamjua ila yule waziri mkuu na msaidizi wake nawajua. Huyo msaudizi wa msekwa alikuwa nani?
Kuwa mkweli tu kwamba unamsema edo sio kujizungusha tuKwakweli hata mimi simfahamu, wanaopitia uzi wanaweza kutujuza.
Sitaisahau ile mvua ya Thailand
Kwa uandishi huu mlioanza kuuandika sasa! Sina uhakika kama kile kitabu Pendwa kilichotungwa na chenye nyimbo nzuri za kuwaburudisha mnapoandika mada kama hizi kitafanikiwa.Nawatakia safari njema.Sky Eclat umemsahau yule kijana ambaye anasemaga yeye ni rafiki mzuri wa Condoleezza Rice.
Huyu ndiye aliyeutia doa urafiki wa yule kijana Mwanajeshi na yule kijana wa Toyota.
Huyu kijana uliyemsahau alishawahi kufanya bonge la sherehe na kualika vigogo wakubwa wa serikali huku akidhania ya kwamba atatangazwa awe na nafasi kama ile ya YA MUNGU MAJALIWA. Wamewasha Video wanasubiri kugonga Cheers, yule kijana mwanajeshi akatangaza baraza na kwa bahati mbaya nafasi ile ya YA MUNGU MAJALIWA akapewa yule kijana wa TOYOTA. Sebule nzima ilikuwa na ulipata ukimya wa ghafla ova shetani kapita na sherehe ikaishia pale pale.
Hapa ndipo yale makundi pendwa yalizaliwa huku Richard Monduli akipelekwa Dodoma kumsulubu kijana wa Toyota.
Nimemkumbuka Ben, this was his last but one, post humu jf, ilipostiwa Nov 15, 2016Nonsense.... Muda wa Toba wautumiakueneza Uongo!
Mkuu unafukua makaburiNimemkumbuka Ben, this was his last but one, post humu jf, ilipostiwa Nov 15, 2016
P.
Hata wewe hujapata fununu alipo?Nimemkumbuka Ben, this was his last but one, post humu jf, ilipostiwa Nov 15, 2016
P.
Kumbe dada utundu ulianza siku nyingi eeh! Inamaana watu walitumia fursa? Hivi ingekua ni wewe ungesubiri boss arudi umkabidhi hayo mabulungutu? Huoni kama ungelaanika kwa kuupiga teke utajiri?Mkuu unafukua makaburi
Mimi na fununu hizo wapi na wapi?!, vipi ulidhani mimi ni miongoni mwa wale jamaa zetu?.Hata wewe hujapata fununu alipo?
Vijana wale wawili walikuwa wasomi, na walionekana kuwa asset kubwa katika chama kama ilivyokuwa kwa Tony Blair na Gordon Brown katika uongozi wa chama cha Labour. Vijana wale walipitia safari ndefu katika chama, hatimae waliwekwa makao makuu ya Chama Dodoma, mmoja akiwa msaidizi wa Pius Msekwa akiwa Speaker na mwingine akiwa msaidizi wa John Malecela akiwa waziri mkuu.
Wabunge wa wakati ule walipata shida sana ya usafiri wa kuwafikisha bungeni, magari yalisafiri usiku na wengi walilala njiani, wengine iliwachukua siku tatu/nne kufika bungeni. Ilipitishwa wabunge wote watakopeshwa mashangingi ili yawasaidie usafiri.
Waziri Mkuu alifanya biashara nzuri sana na kampuni ya Toyota, hakika wenye kampuni hawakutegemea kuwa kainchi masikini kale kanaweza kununua mashangingi zaidi ya 200 kwa mpigo tena kwa pesa taslimu. Makubaliano yalikuwa waziri mkuu apate 10% ya transaction ile.
Kama mnavyojua kuwa pesa za namna hii haziingizwi bank, basi wawakilishi wa kampuni ya Toyota walikuja na pesa kwenye briefcase wakimtamfuta waziri mkuu, bahati mbaya au nzuri waziri mkuu alikuwa safarini, lakini walipouliza, msaidizi wa waziri mkuu aliwakaribisha ofisini kwake, kijana mtanashati na mwenye sura ya kuvutia. Aliwaambia kama wana maagizo yeyote kwa waziri mkuu wamuachie yeye kwani yeye ni msaidizi wake. Ndipo briefcase lilipoachwa ofisini, msaidizi alifungua briefcase baada ya wageni kuondoka, alichokiona hakutegemea, alilichukua briefcase lile mpaka nyumbani kwake na kukaa kimya.
Waziri mkuu aliporudi aliuliza kama kuna wageni waliomfuata na kumkosa, alipewa habari yote lakini alipomuuliza msaidizi alikana, biashara yote ni ya mazabae, waziri mkuu hakuweza kulipeleka swala hili kokote.
Huu ndiyo mwanzo wa utajiri wa msaidizi na uhasama aliojijengea na watu wa chama.