wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Ila jua umegusa kubaya. watakushughulikia hata marafiki zako watakukana. umegusa fumbo la imani la UkawaniVijana wafahamu kuwa hata waasisi wa chama hawakuwa wasafi.
Ila jua umegusa kubaya. watakushughulikia hata marafiki zako watakukana. umegusa fumbo la imani la UkawaniVijana wafahamu kuwa hata waasisi wa chama hawakuwa wasafi.
kwa hiyo umeamua kubutua uwaokoe wenzako? haya vumilianinajua leo nimejitoa mhanga.
Najua lakini kwa hili andiko uliloandika inaonyesha wewe ni mwanasiasa aliyekubuhu kama mimi, la Copy and pasteUkishakuwa raia wa nchi Fulani, siasa ni sehemu ya maisha yako, uwe mkulima, mwajiriwa au mfanyabiashara, maamuzi wanayofanya wanasiasa yatakugusa.
Mmoja huyo msaidizi msekwa sijamjua ila yule waziri mkuu na msaidizi wake nawajua. Huyo msaudizi wa msekwa alikuwa nani?Aiseeeee kumbe ndiko bifu la waziri mkuu na msaidizi lilikoanzia?
Rafiki leo umejilipua ndugu yangu. Ila huo ni ukweli mtupu. Fikiria Chama ni itikadi, je unaweza kujenga itikadi siku moja na ukateuliwa kuwa mgombea kama trump? Hivi ni vioja vya TZ. Lakini nijuze si aliendelea kupata 10% hata baada ya hapo mpaka alivyositukiwa......ninajua leo nimejitoa mhanga.
Hata sijajua,hapa inabidi tuwapate manguli wa siasa kama mzee VUTA-NKUVUTE.Mmoja huyo msaidizi msekwa sijamjua ila yule waziri mkuu na msaidizi wake nawajua. Huyo msaudizi wa msekwa alikuwa nani?
Hata sijajua,hapa inabidi tuwapate manguli wa siasa kama mzee VUTA-NKUVUTE.
Chances are... Ni Mkwere.
Kuna mabingwa wa kutunga uongo na huyu ni mmoja waNonsense.... Muda wa Toba wautumiakueneza Uongo!
Huyu kijana ni nani?
Huyu kijana ni nani?
Sina lengo la kukomoa ila vijana waelewe historia ya chini ya carpet.
Mkuu afadhali mjue haya sikuyatunga mimi, tena umedadavua vizuri kuliko nilivyoyafahamu mimi.Alichokileta Sky Eclat soma hii thread na michango yote
Vita kati ya Malecela na Lowassa ni ya muda mrefu. Hii hapa ndiyo siri ya utajiri wa Lowassa
Hili jamaa lina akili sana!
Haikunyesha , ila mabomu yaliletwa, muda sio muda kulitokea mapinduzi nchini Thai, Shinawatra sijui alikuwaje?Sitaisahau ile mvua ya Thailand