Wale tunaopenda kupika

unawekaga na majani yale yanayonukia au unaenda kuchua masala yale dukani
a hayo masala mwingine anaweka badala ya kua chai inakua pilau,,chai inanuka pilau. Naweka vitu asili vyote,,tangawizi mchaichai,hiliki na mdalasini, ukizidsha baadhi ya viungo hapo inakua pilau,unabalance tena mdalasn kwa mbalii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Weka vitu hapa ili nasi tujifunze. Ila jamani kuna watu wanatengeneza chai nzuri yaani ni nzuri kupita kiasi halafu na vile viungo unaweza kunywa hata chupa nzima.
Ni kweli,,chai hata saa saba mchana unaitamani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mchaichai ndiyo unukie zaidi au siyo?

a hayo masala mwingine anaweka badala ya kua chai inakua pilau,,chai inanuka pilau. Naweka vitu asili vyote,,tangawizi mchaichai,hiliki na mdalasini, ukizidsha baadhi ya viungo hapo inakua pilau,unabalance tena mdalasn kwa mbalii
 
ti hazina ugumu
Hakikisha mafuta yawe si mengi sana na unga usukume au ukande mlaini usiwe mlaini sana uwe mlaini kiasi ambacho huminyani nao kusukuma madonge

Sio lazima maji yawe moto hata maji baridi tumia formula hiyohiyo na zinakua
Yani unavoongea naona nimeweza,,subiri niingie kupika sasa,,jasho, sijui huwa napanic?
 
Mchaichai ndiyo unukie zaidi au siyo?
Sio zaidi,,ila tangawizi isikike,wengine wanawekaga harufu tu ya tangawizi,isikike iwashe flani hv kichokoz sio mpka ukohoe,iwe ile mbichi sio za unga,,
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Izo za kusaga ndo zipoje?

Mm mwenyewe mpenzi wa chapati ila kupika cwezi kabisaaa,nazitoa ngumu kama biscuit

Ukivunja zinavunjika kabisa
Hua unazikandaje???? Chapati ukitaka itoke laini mafuta na maji cheza navo na hakikisha unasukuma zikiwa lakni zisiwe ngum halaf usiwe unasukuma ile round sana unasukuma kwa uwiano sawa
 
Hua unazikandaje???? Chapati ukitaka itoke laini mafuta na maji cheza navo na hakikisha unasukuma zikiwa lakni zisiwe ngum halaf usiwe unasukuma ile round sana unasukuma kwa uwiano sawa
Sawa jumamoc ntajaribu kupika
 
Back
Top Bottom