Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,300
- 4,192
KabisaTechnical school
Dogo field ushamaliza?Iyunga form 6 year 2021
Hongera sanaIyunga form 6 year 2021
I am now a Freelancer Sir, despite being busy solving University Physics 🤣How is you life look like now with your Technical School Background Honourable
Share the same the progress
Walikuwa vizuri sana madogo wale sio mchezo, wadada wanaMusoma tech form one walikuwa wanatengeneza switch socket za kucharge simu
Nisha maliza Nina week moja na nusu kitaa nasubiri niue mwaka wa 4. Nitakuwa nasalimia broDogo field ushamaliza?
Uwe unasalimia, sawa?
ShukranHongera sana
Mtu aliyesoma technical ni fundi mchundo.Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za
ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea
shule ambazo sio ya ufundi.
Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa sababu wana jifunza ufundi
kwa vitendo, wana karakana na mitambo ambayo inawasaidia
kupata ujuzi.
Nakumbuka ilikuwa ikitokea shida/tatizo la umeme hao Olevel
wanao soma mkondo wa umeme (Electrical) wanakuja kutatua
wakati si tunao jiita form six tupo ila tuna theory tu ya Sayansi 🤣
Wanaume wazima tunakuja kubadilishiwa taa na wadada wa
form three au form four 🤣🤣🤣
HIvyo hivyo kwa issue ya maji plumber nao wanakuja kufix.
Nakumbuka mengi sana ila mengine mtayasema nyie
Mimi nilisoma Tanga School (Tanga Technical Secondary)
The first Government Secondary School in Tanzania.
Tanga shule ya Sifa.
Ni sawa mkuu lakini kumbuka hawaishii pale nao wanaendaleaMtu aliyesoma technical ni fundi mchundo.
Mtu aliyesoma form6 alafu akaenda "university" kama UDSM, SUA nk nk ndio engineer.
Najua kwa mtu wa kawaida hataelewa ila siku zote university inamuandaa mhandisi anayejua "kwanini" au anayejua ku reason wakati technical colleges au schools zinamuandaa mtu anayejua "how".
Why = Theory = Science = Engineering. Hujui "why" (mfano why hapa tuwele beam yenye 230mm badala ya 300mm?) basi wewe sio mhandisi bali fundi mchundo.
Mbinu zipi mkuu?Tunabuni mbinu za kazi daima.
Ambonisye ..Iyunga form 6 year 2021
Kumbe kuna wadogo zetu humuu, daaahIyunga form 6 year 2021