Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

nakumbuka udini usikuwa wa maana na migomo ya ajabuajabu kugomewa kwa graduations za shule kutofanyka nakadhalika na migomo hii iliyofanywa na advance pind nikiwa o-level pale na niliapa kama advance ningepangiwa pale tena nisingeenda anyway hila kuna huyu headmaster alifanikiwa kuitatua lakin si kwa kiasi kikubwa baadae alihamishiwa galanos nasikia sa hiv kashastaafu nishamsahau jina
 
haha ha kuna mmoja wenu aliandika barua yenye ujumbe mzito kwa headmaster akaipitisha kwa chin ya uvungu was mlango was ofisi yake ikimuonya kuhusu nadhan itakuwa maafal headmaster akapaniki akapaniki Assembly akinukuu barua
 
Atakua Saadani huyo
 
Huyu muhindi alikuwa wa moto aiseee...
USS hakika "sitakusahau"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…