Wale Tuliosoma sana O-level tukapelekwa shule za Vipaji, Huko Nature ikatuchagua

Huyu erasmi alkuwa noma sana,nmesoma nae o level shule Moja ila yeye alkuwa mbele yangu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Itakua ulisoma Bwiru boys make m nilikua shule ya jirani pale...Mshindani wake maeneo yale alikua jamaa mmoja wa Kitangiri sec anaitwa Jastine Mazinge...Wote walipata division I-10 (2010) ..Mazinge akaenda Tabora school,Erasm akaenda Ilboru
 
Tabora Boys ilinisaidia sana. Nilikua nimezoea kusoma kindezi ndezi tu as long as namzidi kila mtu pale O Level. Nilivyofika advance ndio nikagundua kuna watu (wachache) kwanza wana uwezo mkubwa (zaidi yangu), wa kusoma na kuelewa concepts mbali mbali unassisted na pia wana kumbukumbu nzuri na vitu vinakaa kichwani kwa muda mrefu. Na mimi nikaamua kukaza automatically, ingawa sikufaulu kama wao at the end of the day, lakini nilifaulu above average ukilinganisha na watu wa shule nyingine na nikapata one of the best uni hapa bongo na best degree program.

Ni kweli kuna wanafunzi wengine (hasa from private schools), wanaenda na one kali za single digit ila wakifika kule hali inakua tete sana kwao, nadhani ni kwa sababu kule hakuna walimu na wanafunzi wanajisomea wenyewe tu vitabu, kufundishana na kusoma mapindi mtaani, kule kwa Chief.
 
Back
Top Bottom