Wale tuliosoma Kibasila secondary.

Wale tuliosoma Kibasila secondary.

MwanazuoniMJ

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
66
Reaction score
30
Hebu tujikumbushe kidogo enzi zile za nauli sh.hamsini,mchiki down na kadhalika.
 
ulikuwa pale mwaka gani mkuu, nmeondoka 2007 form 4 pale, nakumbuka sana safar za mchikidown kwa kina mbuga hidden moddy
 
Pamoja sana mimi nimeondoka pale 2001 form 4 baada ya miaka michache nje ya tz niliporudi nikapitia pale nikamkuta mwl kivugo na wengine bado wapo hapo,ilikua ukumbusho mzuri.
 
Sijasoma Kibasila lakini nilikuwa natimba sana pale kwenda kula mihogo ya Mzee Rajabu ya shilingi tano tano! Kudadadeki, miaka ya 90 hiyo, watu tunatoka Kurasini hadi Kibasila kw ajili ya mihogo huku tukiipita mihogo ya Willy pale Jitegemee na mihogo ya kishua pale jirani Kanisa la Anglican Kurasini!
 
Pamoja sana mimi nimeondoka pale 2001 form 4 baada ya miaka michache nje ya tz niliporudi nikapitia pale nikamkuta mwl kivugo na wengine bado wapo hapo,ilikua ukumbusho mzuri.

Mwl. Kivugo, Magomi, Tryphone, Mwambalaswa, Mhina, Kalinga, Mwakalinga, Mpuguso, Nchimbi, Kihaka, Rukoijo, Nyiti, Njau, Sharifu, Mabula...
 
Mwl. Kivugo, Magomi, Tryphone, Mwambalaswa, Mhina, Kalinga, Mwakalinga, Mpuguso, Nchimbi, Kihaka, Rukoijo, Nyiti, Njau, Sharifu, Mabula...
Hapo waliobaki nadhani ni kivugo, na mwambalaswa.
Niliwakuta mwaka juzi.
 
Wengine walikuwa wakuu wa shule sehemu zingine.
Kama tryphone, magomi, nchimbi na kalinga.
Ingawa kalinga alifariki mwaka juzi
 
Wengine walikuwa wakuu wa shule sehemu zingine.
Kama tryphone, magomi, nchimbi na kalinga.
Ingawa kalinga alifariki mwaka juzi

Wee... Kalinga yule mwalimu wa Maths mwenye mimacho hivi?
Mungu amrehemu.
 
Mimi nilisoma advance ila niliipenda sana ile shule kwa sababu nyingi kama;
1.Hakukuwa na matabaka sana.
2.Mkuu alikuwa peace kipindi hiko ni Mwl Urasa msaidizi Mwl Anania.
3.Ufundishaji ni mzuri mfano Sir Mathias alikuwa mtata ila anajua kufundisha.
4.Kiwanda cha Serengeti kilikuwa kinatoa harufu nzuri yani naimis sana.
5.Shule ilikuwa karibu na ofisi ya Mzee kwaiyo nilikuwa nashushwa na gari la mzee getini(mana mimi ni wakishua) wanafunzi wananishangaa.
6.Kubwa kuliko ni, watoto wa kike wa o-level walikuwa wanatukubali advance yani ukikaa kwenye vimbweta lazima wakuletee swali, mimi nilipata kama wanne hivi mmoja nipo nae hadi leo tumeshakuwa.
Vitu vilivyokuwa vinanikera.
1.Ajali kwenye high way(machinjoni)pale pamepoteza maisha ya wanafunzi wengi.
2.Bifu kati ya boys wa o-level yani wavaa kaki na boys wa advance.
3.Advance kupewa madarasa ya kawaida wakati o-level wanakaa ghorofani.
Dah Kibasila high school naikumbuka sana, nilipomaliza nilisikitika.
 
Back
Top Bottom