GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,128
Kwa sababu wewe ni mbumbumbu(hujui kitu) na huelewi ngoja nikuulize nikusaidie,
1.Wale makamu wengine wawili wanapewa vyote alivyodai Masele na nchi zao.
2.Bashite tu hapo ana walinzi wa kutoka nyumba nyeupe, yeye nani katika nchi hii? Anapewa kwa utaratibu upi?
3.Kama hujui Male ndiye anatumika kuendesha vikao vingi vya PAP kutokana na kuaminiwa kwake, huyu Rais wa PAP anagomewa na wabunge wote kwa tabia zake za hovyo. Kwa fitina anazomfanyia Masele, ana haki ya kupewa ulinzi.
Kama wale wabunge wore mle ndani waliokuwa wanagonga meza kushangilia ni CHADEMA basi hakuna shida na huenda wao ndio hutajwa kuwa waliosema ndiyo wameshinda! Hongera CHADEMA kwa kuwa na wabunge wengi ndani ya ukumbi Wa bunge!baada ya kuingia Rais Magufuli madarakani chama fulani cha siasa za uanaharakati bongo kimejikita kikianzisha utaratibu mpya wa kutetea kila uovu na kwa Masele imethibitika hivyo
Ndio namsaidia..tena popoma namba 1Duh....Mkuu kwahiyo na Mimi leo ni Popoma / Mbumbumbu / Pumbavu kama ' ulivyonibatiza ' kwa Upako wa Moto na Povu jingi kama siyo kali hapo juu?
Naunga mkono hoja wakimbizi wote warudi kwao.uyu Jamaa ni jinga sanaa yani sometimes uwa natamani tuwafukuze wanyarwanda wote humu bongo maana hawa jamaa wanafikiria matakoni aisee ila yy apo anajiona genius hahahahaha kweli genocide sio mchezo
Naunga mkono hoja wakimbizi wote warudi kwao.
Watuachie nchi yetu.
Tatizo la kusoma kwa kuunga unga chuo cha kata SAUT yanaanza kujidhihirisha