Wale madalali wa mapenzi!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,675
Habari zenu wanaMMU,..

Katika pitapita zangu mitaa ya kujidai nikakutana na njemba fulani rafiki yangu ambaye tulikutana nae katika event fulani hapa mjini na ndipo tukaanza kujuana, kwake mambo safi nikimaanisha kuanzia mkwanja anao wa kutosha, jumba la kifahari kalidondosha huko Mbezi beach na kuhusu kazi anamiliki kampuni yake binafsi ya ujenzi hapa Jijini Dar!!

Tatizo la huyu jamaa hajui kabisa kumtongoza mwanamke, anaweza kupanga appointment na mwanamke lakini kufika eneo la tukio inakuwa mtihani kwake na akifanikiwa kufika basi kuanzia mwanzo wa mazungumzo mpaka mwisho yeye hamwangalii mwanamke usoni hali inayowafanya wanawake wengi kumpuuzia huyu mshkaji maana wanamwona jamaa kama vile analeta mzaha na kupotezea watu muda wao.

OMBI lake kwenu wanaMMU,..

Jamaa anahitaji mtu atakayekuwa tiyari kumtongozea mwanamke atakayempenda na kufikia hatua ya kugegedana nae,..
 
  • Mbona sipati picha vyema, inajulikana wazi ukishakuwa na mkwanja huna haja ya kutongoza huwa wankuja wenyewe.
  • ​Nitarudi
 

domo zege mi nawapenda,, niunganishe.....
 
mwambie akamstatie archimedas principle.....when the body is partially or totally..............something will happen!
 
Nashindwa kukoment kitu chochote .
 
mwambie akamstatie archimedas principle.....when the body is partially or totally..............something will happen!

duuh, unataka arudi tena shule mkuu!! Hamna shortcut ya kumsaidia,..
 
Na wakati wa kugegeda pia hataki dalali?awe anamgegedea?
 
Aandike barua basi kama pepe au ya kawaida...Akiimwaga mistari!!
 

mmmm labda lara 1
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh story kama za ID flani,watu mnajitahidi lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…