Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Wakuu mmeamka salama?
Labda tujuane wote tunakerwa na makelele ya wale jamaa wanahubiri/ au kuuza bidhaa zao kwenye basi pindi liko linasafiri.
Mtu unahitaji utulivu wa akili au unahitaji utulie na kuomba kimya kimya basi liwafikishe salama anajitokeza mtu anaanza kuongea mwanzo mwisho wa safari.
Huwa wananikera sana hawa watu.
Kwa upande wenu vipi ?
Au serikali ilishatoa kibali cha kufanya mahubiri/soko kwenye basi.
Maana ninavyo amini wasafiri wote kwenye gari ni madereva ,sasa wasipokuwa macho au karibu na dereva mkuu ndio mtu unajikuta umekufa au hujui ajari imetokea kwa mazingira gani.