Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Demiss ulinunulia Carolites kwa hiyo utumiwe nyingine sasa ambayo ndo itakuwa nauli sionaomba nisamehe kwa kweli nilienda kununulia carolite hiyo helaaa
Demiss ulinunulia Carolites kwa hiyo utumiwe nyingine sasa ambayo ndo itakuwa nauli sionaomba nisamehe kwa kweli nilienda kununulia carolite hiyo helaaa
afadhali ku bet ni hela ndogo, nauli kama sisi wa Kaskazini halafu unaambiwa kama ni basi unaambiwa kabisa tuma ya Kilimanjaro Express sh 36,000 na hela ya kula plus nauli ya kutoka nyumbani na ya kuwaachia wanao baki nyumbani yani laki kasoro 15,Hiyo ni tahadhari kabla hujaliwa,unajua kufanya hivyo ni kama umebet.
Mi wa hivyo huwa ninapiga ku update cvMimi alikuja lakini mmmh alikuwa bonge la mama
Picha zilikudanganyaMimi alikuja lakini mmmh alikuwa bonge la mama
Ndio maana vyuma vimekaza bila uongo huwez kupata hela wacha niendelee kula nauli zenu
Sakayo umepotea afadhali umefika tu na kukutana na mda tajwa huenda umewahi kuwa mhusika kwa hili nahisi tuHahaha
Nacheka ka mazuri vile!!!
Mimi nina uzoefu na mambo haya kwa miaka 40 hivi !! Nimeshawahi kulizwa na kuliza vile vilemadogo? hujawahi lizwa sio,
clopp kumbe umewahi pigwa kwa style hiyo pole mkuuHapo ndipo panahitaji moyo wa plastiki, unaweza ukafumba macho ukatuma baada ya siku mbili anakuambia Shangazi anaumwa sana na ile pesa yote nimepeleka hospitali naomba nitumie nyingine,
Odhiambo cairo duh miaka 40???? kumbe ww mtaalam wa kuto***za wengine tumeanza juzi tu tunalia lolMimi nina uzoefu na mambo haya kwa miaka 40 hivi !! Nimeshawahi kulizwa na kuliza vile vile
Hii jinsia ya kike ni kama muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Cha Zanzibar ni cha Zanzibar, Lakini cha Tanganyika ni cha wote a.k.a Tanzania. Mwanamke naye cha kwake ni cha kwake Lakini cha mwanaume ni cha wote a k a family