Wale ambao leo mmekaushiwa na wapenzi wenu

Kwani mnaishije mjini bila backup plan wajomba, hakuna plan b kabisa..??
kuna manzi ile asubuh kazuga kunikazia.

Nikafanya plan B... Tena hiyo ni kitu balaaa


Nmepiga mapicha mapicha nikiwa na plan B , tunakula na kucheka , nimeweka kwa status wasap

Saizi yule alozuga Asubuhi ananipigia simu ohoooo upo wapi ohoooo nini

Nmemchana laivu, Asubuhi umevunga.. Ukajua unanitesa,, nmetumia plan B .

akaendelea, ohoooo basi nakuja.


Nmemjibu, Nipo na mwenzako tena nyumbani kwake nje ya mji .. Kisha nmemblock ..ila mimeseji ndio anaendelea kutuma sijamjibu na mimeseji yake !!
 
Back
Top Bottom