Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,649
- 3,160
- Thread starter
- #101
Safi sana hiiHuu mwaka nimeona nianze na Neno la Mungu mambo ya uzinzi siku ya pili ndo nitaanza kuyawaza dah,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana hiiHuu mwaka nimeona nianze na Neno la Mungu mambo ya uzinzi siku ya pili ndo nitaanza kuyawaza dah,
Unapiga panapoumaYuko busy anakata viuno akimaliza atakufungulia usiwe na hofu hakutaka usumbufu wakati yuko busy
Uliombwa auDaah nimetuma na nauli hajatokea
Eti walokole niendelee kumvumilia tu?
Nilipanga tukutane nae Kama hakua na nia ya kuja angesemaUliombwa au
Ahsante shem na kwako pia
Kwa hiyo akakwambia angeweza kuja ila hana nauli? na mna mahusiano ya muda mrefu?Nilipanga tukutane nae Kama hakua na nia ya kuja angesema
NdioKwa hiyo akakwambia angeweza kuja ila hana nauli? na mna mahusiano ya muda mrefu?
Mhh na sababu zilizopelekea kutokuja ni niniNdio
3yrs