Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

Nipe faida ya kutokuwa na mtoto
Zipo nying sana:-
1.hutapoteza muda ktk malezi,Mara kwenda kilinik
2.pesa yako haitatumika kwenye maswala ya ada ya watoto
3.unaweza epuka magonjwa ya moyo maana Kuna mitoto inatabia za ajabu znazoweza kukupelekea kupata stress
4.hakutakuwa na kelele nyumba,n.k
 
Sasa maisha yana faida gani tena kama utayakimbia majukumu muhimu kama hayo?
 
unaweza ku adopt watoto....umeongea mambo ya msingi sana, pressure kutoka katika jamii inayotuzunguka inafanya wengine waingie ndoani for the sake of it,matokeo yake mpaka wanakufa hawana furaha...

Hivi ni Kwanini, Kwanini majority ya wanapenda fanya maamuzi haya magumu sababu ya pressure ya Jamii

Why
 
Hivi siku hizi kuna huduma ya nyumba za kutunza wazee huko Tanzania? (nursing homes)..kama hakuna tafuta familia hata kama ni ku adopt, unaweza ukawa na pesa uzeeni na ukawa mpweke,mwenye sononi...na kama hamna huduma ya nursing home nani atakutunza?? lazima ufikiri hizo trade offs kabla ya ku make decision not to have a family.
Aiseee zipo. Dah acha tu. Nilienda mojawapo pale msimbazi center dah kama haujui tafasiri ya neno upweke uzeeni then nenda utembelee vijijini vya wazee.

Yaani wazee wamepoa masikini wanahesabu tu masaa yaende waingie kulala wasubirie kukuche. Dah aisee MUNGU atusaidie sana tuwe na uzee imara.

Halafu unakuta pako kimyaaaaaaaaa, kila mzee kwenye nyumba yake......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipo oa, usipo zaa, huo urijali wako utauonesha wapi?
Usiwe haudindi alafu ukasingizia mambo mengine ili usioe.

Nasema hivi kama mwanamme rijali kabisa (bunduki imejaa risisi) lazima uoe, hayo ya kuzaa mungu ndio anae jua.

Nikiwa kama kidume, nimeoa na nina watoto wawili (wakiume tupu) na shemeji yenu ana mimba ya miezi mitatu.
Sawa sawa kumbe umekuwa sasa..!!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Sasa maisha yana faida gani tena kama utayakimbia majukumu muhimu kama hayo?
Kuishi bila kuwaza Leo watu wangu watakula nn,ni maisha yenye amani sana,yaan nakuwa najiwazia Mimi tu,Nile nn,ninunue nn,niende wap na kwa muda gani,aisee full starehe
 
Kuishi bila kuwaza Leo watu wangu watakula nn,ni maisha yenye amani sana,yaan nakuwa najiwazia Mimi tu,Nile nn,ninunue nn,niende wap na kwa muda gani,aisee full starehe
we hutaki majukum kana kwamba wazazi wako hukuwapa majukumu.. akili fupi
 
Eee Mimi sitak shida,hii dunia imejaa shda,siwez leta damu yangu ije iteseke hapa dunian,kumbuka ukizaa Mtoto hakikisha unamuandalia maisha mazuri yake yeye mpaka watoto wake,sio uzae kwa sifa kama ng'ombe
una uoga sana wa maisha, akili za kimaskini hizo
 
Usipo oa, usipo zaa, huo urijali wako utauonesha wapi?
Usiwe haudindi alafu ukasingizia mambo mengine ili usioe.

Nasema hivi kama mwanamme rijali kabisa (bunduki imejaa risisi) lazima uoe, hayo ya kuzaa mungu ndio anae jua.

Nikiwa kama kidume, nimeoa na nina watoto wawili (wakiume tupu) na shemeji yenu ana mimba ya miezi mitatu.
Comment kutoka kwa shabiki nguli Wa Manyumbu
 
Ndoa ni sakreamenti takatifu..na kabla hujaingia ndoani sugua goti Mungu akupe yule aliye sahihi na mwenye hofu yake.

Embu oeni huko mfyuuu.
Wanawake mnapitia madhira mengi sana kwenye ndoa kuliko wanaume, lkn najiuliza kwanini mnakuwaga wa mwisho kuikataa ndoa?
 
Usipo oa, usipo zaa, huo urijali wako utauonesha wapi?
Usiwe haudindi alafu ukasingizia mambo mengine ili usioe.

Nasema hivi kama mwanamme rijali kabisa (bunduki imejaa risisi) lazima uoe, hayo ya kuzaa mungu ndio anae jua.

Nikiwa kama kidume, nimeoa na nina watoto wawili (wakiume tupu) na shemeji yenu ana mimba ya miezi mitatu.

HII NCHI NI TAJIRI SANA HII-

AU NADANGANYA NDUGU ZANGU WALOKOLE?
 
Baada ya kifu unakuwaje tena kivipi braza...sii ulishamufa ama wee unaongelea kufa tofauti na mimi.

Sijui wewe ila mie nafsi yangu inanisuta kabisa kuwa wewe mzabzab ukifa ni wakichomwa motoni tuu.
Mkuu kabla ya mauti utampokea YESU kristo kama bwana na mwokozi wako, nakuombea asee.
 
Back
Top Bottom