Wale ambao bado tunaendelea na Forex tupitie hapa.

Hydrazin

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
253
Reaction score
372
Nafkiri lile wenge la forex limeisha jinsi ilivyokuja masikioni kwa watu na matarajio yaliyokwa kabla na ukweli uliopo na uliokutwa juu ya forex baada ya kuingia. Basi kwa kuwa ukweli umejulikana twende hapa, hii ni kwa wote tuliopo kwenye biashara hii tukasome kitabu hiki ambacho kimefafanua basic logics kutoka katika vitabu kadhaa muhimu vya forex na kuwekwa kwenye nakala moja kwa lugha ya kiswahili. Jinsi ya kukipata mawasiliano haya
0625934471 & 0653935820. Popote ulipo Tanzania hii.
IMG_20180205_165937_736.jpg
 
Hivi best yangu ontanario mmepeleka wapi siku hizi humu ndani! Kimia sna
 
Nafkiri lile wenge la forex limeisha jinsi ilivyokuja masikioni kwa watu na matarajio yaliyokwa kabla na ukweli uliopo na uliokutwa juu ya forex baada ya kuingia. Basi kwa kuwa ukweli umejulikana twende hapa, hii ni kwa wote tuliopo kwenye biashara hii tukasome kitabu hiki ambacho kimefafanua basic logics kutoka katika vitabu kadhaa muhimu vya forex na kuwekwa kwenye nakala moja kwa lugha ya kiswahili. Jinsi ya kukipata mawasiliano haya
0625934471 & 0653935820. Popote ulipo Tanzania hii.View attachment 691464
Weka bei uwapige wajinga
 
Hivi best yangu ''ontanario'' mmepeleka wapi siku hizi humu ndani! Kimia sna
06022108.jpg

today 06022018.jpg

Bize sana tunafatilia mambo ya msingi zaidi, analysing charts inahitaji mda. kwenye mapumziko kama sasa baada ya kufumua gbpusd tunasubiri itoboe nikapata kuingia JF.
 
View attachment 691738
View attachment 691741
Bize sana tunafatilia mambo ya msingi zaidi, analysing charts inahitaji mda. kwenye mapumziko kama sasa baada ya kufumua gbpusd tunasubiri itoboe nikapata kuingia JF.
you must have confidence to stand alone without depend on whatsapp group those groups will kill you soon, you cant win trade with others strategy meditate your own depend on how you observed price action.
Once you have made your estimation on how it will take into action to get proof of that, entrust it then start to milk $$
Enjoy Fx
 
actually I don't depend entirely on signals or others strategy. hasahasa hawa superior4x and FX Canly wanafanya analysis vizuri sana. huwa naangalia analysis zao, kisha nafanya yangu. mfano superior4x anatuma analysis zake daily saa tano asubuhi while am already on the market.
 
Haya mkuje huku wale wasiopitwa na ma business na ma biashara
 
🙂😀😀😀 hakuna wafuasi wa Kibwetere. watu wanadepend on their own. Mimi nimeshangaa sana, kuna watu wanakula msuli kwa trainers waliopo nje kwa muda wanaopanga.
wakati tumelala saa nane usiku, watu wanasoma na wengine wanapiga hela balaa. this world is not yours, take it or leave it
Hakuna anaepiga hela acha utapeli mkuu, ni kama wasaka rupia tu
 
Back
Top Bottom