demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Believe it or not, forex inaendelea kwa speed ya ajabu mno. training zinafanyika kwa njia ya darasani, webner mbalimbali na youtube videos. hapahapa nchini kuna watu wanasoma kwa Quillan Black mmarekani, Skhumbuzo Vapi wa S. Africa wakiwa wamekaa dining.
Usinge waeleza yote hayo. Hao hata Quillan Black hawamfahamu. Ungewaacha wasubiri viwanda vya magufuli. Hii nchi wapuuzi ni wengi ndio maana ccm itatawala milele.