Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,501
- 9,279
Tafiti mbalimbali zimethibitisha kuwa mazoezi mbalimbali mfano kukimbia yanaweza kukufanya mwenye furaha na ujisikie vizuri.
Walau saa moja ya mazoezi kila wiki inatosha kukuweka mwenye afya njema na kukukinga na sonona (kushuka moyo/huzuni kubwa).
Tiba Fasta
Walau saa moja ya mazoezi kila wiki inatosha kukuweka mwenye afya njema na kukukinga na sonona (kushuka moyo/huzuni kubwa).
Tiba Fasta