Walau saa moja ya mazoezi kila wiki inatosha kukuweka mwenye afya njema na kukukinga na sonona

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,249
2,000
Tafiti mbalimbali zimethibitisha kuwa mazoezi mbalimbali mfano kukimbia yanaweza kukufanya mwenye furaha na ujisikie vizuri.

Walau saa moja ya mazoezi kila wiki inatosha kukuweka mwenye afya njema na kukukinga na sonona (kushuka moyo/huzuni kubwa).


Tiba Fasta
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom