Walahi huu ni Ugonjwa

Walahi huu ni Ugonjwa

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
36042_156989037654849_100000312607117_350260_5385728_n.jpg
 
wanaume tuna raha yaani hii yote ni kwa ajili yetu kutafuna hahahh
 
mchina wapi, na wala sio ugonjwa. Kama ni ugonjwa basi na barabara imeambukizwa. Ona mistari ya barabara ilivyopindishwa. Mambo ya photoshop.
 
Vitu hadimu sana hapa kwetu Kariakoo, kikipita kama hiki, walahi atakufa mtu hapa.
 
Hakuna ugonjwa wala nini! Uongo mtupu.
 
Hii ni zaidi ya kazi ya mchina, labda ni kazi ya mjerumani hiyo.
 
mchina wapi, na wala sio ugonjwa. Kama ni ugonjwa basi na barabara imeambukizwa. Ona mistari ya barabara ilivyopindishwa. Mambo ya photoshop.

ni Mchina jamani tusibishane saana, kwani vile visimu vinavyopindishapindisha sura si vya mchina hivyo? kila kitu made in CHINA.
 
Back
Top Bottom