Asanteni Sana serikali ya awamu ya tano kudhibiti hili suala.miaka ya nyuma niliwahi kushuhudia kwa macho yangu mabaunsa wa ile club iliyokuwa maarufu Sana wakiwauzia vijana unga wengi wao wakiwa ni wasanii.nilishangazwa Sana na watu wasiopenda maisha ya vijana na wakawa tayari kuwapoteza, kwa Mungu ninazidi kuwaombea laana wale wote walioruhusu biashara ya ngada ikafanyika katika club ile kwa namna moja ama nyingine na mahali pengine.
Sent using
Jamii Forums mobile app