Walaaniwe wote walioruhusu madawa ya kulevya club billicanas

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,074
42,852
Asanteni Sana serikali ya awamu ya tano kudhibiti hili suala.miaka ya nyuma niliwahi kushuhudia kwa macho yangu mabaunsa wa ile club iliyokuwa maarufu Sana wakiwauzia vijana unga wengi wao wakiwa ni wasanii.nilishangazwa Sana na watu wasiopenda maisha ya vijana na wakawa tayari kuwapoteza, kwa Mungu ninazidi kuwaombea laana wale wote walioruhusu biashara ya ngada ikafanyika katika club ile kwa namna moja ama nyingine na mahali pengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona tu bilcanas? Je mango Garden hukupaona?

Ngoja uwaambie ukweli ingawa ukweli mgumu kumeza

Unandika ili mradi tu uandike!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu basi naww ulitenda kosa kubwa sana cos hukureport kituo cha police kilicho karibu na ww ili hao mabaunsa wakatwe
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom