King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,541
Wakuu habarini!
Mi nasemaga kitu kimoja kama wewe ni boss mwenye kampuni ya toyota nitajishika na wewe boss ukipanda na mi napanda, ukitoa new fashion nami napita nayo nyuma yako, wabongo tunashindwaga hata kutembelea nyota.
Wewe kila fashion mpya pita nayo mbona watu wengi wanafanya hivo mimi saivi naparamia fashion tu sina la kuwaza nishachelewa mahali.
Simu mpya ninayo
Gari mpya ninalo
Jeans, kadeti, kiatu kipya ninacho
Bati mpya ninazo.
Sitaki habari za zamani.
Ukiweza kwenda na fashion kwenye biashara yako umeua. Fashion wanazo maboss waige na wewe uwe boss uigwe.
Hii ni siri nimewaibia mahali kwenye kichwa changu na siri hii amna tajiri atakuja kukuambia ishi kwa hulka ya fashion.
Ahsanteni sana na Alamsiki.

Yaani wanga'ata na kupuliza ukija kushutuka MT4 hazipandi. Hii ni sawa na kumpa demu lift anashutuka yuko ghetto anaona kama ndoto alifikaje? Kushutuka ashalowa.