Philp Kilonzo
New Member
- Aug 3, 2016
- 3
- 1
Habari ya chakula safi na haramu au najisi,imeandikwa katika biblia walawi 11.ni vema MTU akapitia kujiridhisha.
Haya achana na Kitimoto tujadili hao samaki wasio na magamba.....tuanze na KAMBALEAndiko limekataza.hao wanyama waliotajwa.nashangaa mmeamua kuvunja maandiko.maana wote wamekatazwa.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwahi kukuta andiko kama hili mahali nikaacha . Sio nikaacha kula KITIMOTO , la hasha . Niliacha kuendelea kusoma .
Hakuna kitu cha kijinga km kufuatisha kila kitu cha diniSio kila ililotendwa na wayahudi au waarabu liwekwe kwenye uhalali wa dini husika, mengine ni ya kimila zao tu, ni ujinga kuiga hadi mavazi, vyakula, kulala au kuongea ama salamu zao, ni kutokuzijua kweli tu. Unadhani Mtume Muhamadi angezaliwa umasaini waislamu wangevaaje ? Halali ingekuwa ng'ombe, mbuzi na kondoo tu hata kuku haramu. Waarabu walivaa wavaavyo sasa tangu kizazi cha midle persians cha miaka mia 9 kabla ya Yesu. Yesu na mamake hata madafu sijasikia kama walishawahi kuyala achilia mbali ngamia na kambale. Kama wanajamii wa kwao walikuwa na mapokeo yao toka kwa mababu zao kulingana na mila zao zilizotokana na mazingira yao husika mi hayo hayaniusu kabisa,Mungu ni wa wote, hawezi kumtenga mmasai kwa mavazi yake yanayomfaa kwa mazingira na shughuli zao.
Hao wanasumbuliwa na wivuView attachment 443763Nadhani uchochezi ni dhambi isiyokuwa na msamahaa.......Sasa hapo pana minyoo kweli?
Hawa wajukuu wa Mudi utawaweza basi?....wao badala ya kuchinja K/moto, wanachinja watu.Hao wanasumbuliwa na wivu
Eti wanapigania diniHawa wajukuu wa Mudi utawaweza basi?....wao badala ya kuchinja K/moto, wanachinja watu.
Hahahahaaaa......haya mambo tuyaache tu....ukifika mbali utakutana na Malaika mtoa ban.....badala dini iwapiganie wao?😀😀😀😀😀Eti wanapigania dini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe hata maana ya neno haramu huijuwi. Haramu ni kile ulichokatazwa.
Dhumuni langu ilikuwa ujue tu kwamba sio nguruwe tu hafai ila pia ngamia, sungura, kambale, kibua n.kNa wewe unafakamia tu? Ndiyo maana mnafyatuana mpaka makanisani wanaume kwa wanaume, najisi tupu.
Tehe tehe tehe na haka Ka weekend karefu ntakula kilo mojaNiliwahi kukuta andiko kama hili mahali nikaacha . Sio nikaacha kula KITIMOTO , la hasha . Niliacha kuendelea kusoma .
Wapo wengine wakila red meat inawaathili, hata nyama au chakula chochote kipoiva vizuri inaweza leta tatizoSasa wewe kwani unakula kitokacho? Of course kitokacho ni haramu na nguruwe ushaambiwa ni najisi. Kama hutaki wewe endelea tu kumla, si umeiona page namba moja?
![]()
What Eating Pork Does Inside Your Body (Video) - Health Advice Team