Jamaa umezingua sana kuzileta hizo picha huku jf hata Kama umeficha sura zetu, ila next time hatuwezi kukaa na wewe kupiga Monde hizi pigo za kishamba yaani unalialia kiasi hiki, mkuu umezingua sana aiseee
ila huyu jamaa ni fundi sana. atakuwa na viungo mnyumbuliko kama amoeba, na hapo ni style gani wanatumia maana mlango kaufunga?
ngoja nimshawishi ndito kwenye ist au passo