Wala bata wa JF

Huyo ajiandae kwa talaka! Picha ya uchi kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 kwahiyo Mr alijibuje baada ya kuipata hiyo pic?
 
Mafuriko Iringa
TAARIFA KWA UMMA Tarehe 04/02/2020

Tahadhari kwa watumiaji wa barabara kuu ya IRINGA-DAR kipande cha Kitonga- Ilula iko Chini ya Ulinzi kutokana na hatari ya kutaka kukatika.
Wakandarasi na vyombo vya Usalama wapo Site kushughulikia Dharura hii na taarifa zaidi itatolewa juu ya Usalama wa kupita Mabasi ya abiria, Magari ya kawaida na magari mengine ya Mizigo.
Asia Juma Abdallah, DC-Kilolo, Mwenyekiti kamati ya Usalama Wilaya.
Your browser is not able to display this video.


Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…