Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

Hili ndo bata langu la Leo.
tapatalk_1577174452154.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona January imebana sana... Nimegundua kuna uhaba mkubwa wa picha halisi za bata... Badala yake tunaweka za Google na za kutoka vyanzo vingine...
Kupost tunapenda sana... Tatizo uchumi.. Vyuma vimekaza mpaka vinatoa kutu

Jr
 
Raha najipa mwenyewe... Niko likizo leme relax
1579630687507.jpeg


Jr
 
.


Jr
 
Back
Top Bottom