Wakwenu Anapendwa hivi?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
181016_390491217664890_1359504696_n.jpg
 
Mtizame binti wa kushoto. Kwa jinsi anavyoshangaa ni kama wenzie wamevuka mipaka kwa namna walivyomkumbatia Obama.
 
Bora Kikwete anaweza hata kusmile. Imagine yule babu wa Karatu angekuwa rais...mmmmh!
 
Rejao bwana! Smile ndo priority? Hizo zinaitwa added advantages. Smile is all he has, hana nyimbo huyo wa kwenu!
 
Lol!
Uzuri huyo wa kwenu anaendaga na pipi. Na ukata na ukwasi uliopo kijijini watoto wanafurahi kumuona mtu wa kwenye tv. Haya bana, sasa hivi tunataka mwenye hips kubwa.
Nimecomment based on pic ma dia...hayo mengine tuyaahirishe kwanza!!!
 
Lol!
Uzuri huyo wa kwenu anaendaga na pipi. Na ukata na ukwasi uliopo kijijini watoto wanafurahi kumuona mtu wa kwenye tv. Haya bana, sasa hivi tunataka mwenye hips kubwa.
Hahahaha...lol
Umenivunja mbavu!!
 
Mtizame binti wa kushoto. Kwa jinsi anavyoshangaa ni kama wenzie wamevuka mipaka kwa namna walivyomkumbatia Obama.

Acha tu mabinti wa kimarekani bwana we angalia 106&park uone labda chris brown hv akihojiwa uone mabinti wanavyolipuka au check walivyokuja p2 uone madada hadi wanalia khaa!!
 
Nimeipenda hiyo. Mzee wa karatu ndo refference pekee uliyoiona?
Hahaha. Baba V, sitaki kukoment zaidi juu ya hili cuz tutahama kwenye mjadala. Kipindi hiki najitahidi kuwa mwema.
 
Last edited by a moderator:
Tena anaevaa sarawili ili hips zitokee vizuri. Nawasiliana na wachina niongeze pisto manake kuna mtu nahisi atanishinda kigezo.
Heeeee.. King'asti, nani huyo kakupa gepu? Nipe basi kontakti zake?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom