Wakuu yamenikuta

Kiatu cha udongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
443
Reaction score
1,158
Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.

Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!

Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
 
Sasa Status tu imekumaliza nguvu, je ukiwafumania live? Si utakufa?

Be Gentle.
 
Makosa Makubwa...huwezi kuwa serious na singo maza ....lazima uonyeshwe kwanza kaburi na mkanda wa mazishi ya baba wa mtoto ambao jina la kwenye msalaba lisome sawa na la kwenye cheti cha kuzaliwa mtoto tofauti na apo we kula kimasihara na mtoto mhudumie ukipenda sio kama majukumu.

Maana baba wa mtoto hawezi kumtongoza tena wakikutana ni kupima oil tu na miti..na usipoangalia nawewe unaachwa arudi kwa wakwanza akalee mtoto especially kama bado haujazaa nae...maana kwako ni kupunguza machozi tu ila anatamani familia yake iwe na baba wa mtoto POLE.
 
[emoji120]
 
Pole sana mkuu
Watu wanaposema usioe au usiolewe na mtu ambaye tayari anamtoto huwa wanaogopa haya.

Kikubwa kama unampenda kaa nae chini myazungumzee kwa uzuri.
Mazungumzo yatafanya ujue unaendelea ama unaishia njiani

Ila
Kwenye mchezo wa mpira wa miguu kanuni ni kuwa na mpira mmoja uwanjan
 

Sioni kosa lake
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…