Wakuu wa wordpress msaada wenu unahitajika huku

Wakuu wa wordpress msaada wenu unahitajika huku

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
habari wakuu,

tatizo langu ni: nimetengeneza wordress theme kupitia artisteer software..sasa kila nikienda kule kwenye wordpress ili niipuload inanikatalia na inaniletea ujumbe huu

[h=1]Forbidden[/h] The requested resource
/blog/wp-admin/update.php
does not allow request data with POST requests, or the amount of data provided in the request exceeds the capacity limit. Additionally, a 413 Request Entity Too Large error was encountered while trying to use an ErrorDocument to handle the request

nashindwa kuelewa hii inasababishwa na nini.na nitasolve vipi ili niweze kutumia theme yangu
msaada wenu hapo please
cc to C6 Donn Nyasiro na wakali wengine wote
 
Last edited by a moderator:
ina ukubwa gan hio theme na host wako anasuport file mwisho ukubwa gan?
 
host ananipa 10 gb disk na theme yangu ina kama mb 10.7 tu

gb kumi ni ukubwa wa nafasi unayopewa lakini pia kuna limit ya file moja unaloruhusiwa kueka. hosting wengi wanaruhusu mb2 hadi mb5.

punguza ukubwa wa themes hio how iwe mb10? ume optimize picha hizo?

kama still unataka kui upload inabidi utumie ftp pamoja na client wa ftp kuieka manual hio theme kwenye directory ya theme ambapo mafile ya wordpress yapo
 
nimepata idea hapa...nataka ku upload moja kwa moja kule kwenye /wp-content/themes/ vp itafunction ???? mkuu
 
Tumia FileZilla ili kui upload hiyo theme. Lakini kama theme yako ipo compressed kwenye .zip inabili u-extract halafu u upload files kwa sababu FileZilla ina upload .zip bila ku-extraxt
 
Back
Top Bottom