Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

1. Chukua Asali mbichi, samli pure, changanya nusu kwa nusu, atumie vijiko viwili asubuhi, mchana na usiku wakati wa kulala.

2. Chukua papai bichi, likate vipande vidogo vidogo bila kumenya, usitoe mbegu. Chukua maji lita 5, weka hivyo vipande na mbegu. Funika na acha siku tatu, chuja na anzw kunywa glass moja asubuhi, moja jioni. (Vumilia uchachu na halufu kidogo ya fermentation)
Mwingine ye anasema alipona kwa asali mbichi iliyochanganywa na alovera !
Anasemq alichukua chupa ndogo ya konyagi akaweka asali robo chupa halafu akakata alovera akakinga ule utomvu wake(juice yake)kijiko kidogo cha chai akachanganya ,akaitikisa sana ikachanganyika akaiweka mpk asubuhi akaitikisa tena,then kabla hajala chochote asubuhi analamba kijiko kidogo cha chai siku 4 akapona!

Kwahiyo akashauri ukiona zimeisha siku NNE bado kuna shida manaake shida ilikuwa kubwa,hivyo endelea tena kwa siku 4.

Nimejifunza kuwa Kwenye hii shida watu wamepona kwa tiba tofauti tofauti sio uniform!

Mi nikimaliza nachotumia,nitapima kabisa halafu nitaleta mrejesho hapa,labada kuna watakao saidika
 
Pole mama, kuna mtu alinipa no ya mtu kipindi naumwa alisema alimsaidia mama yake (simjui na wala sijawahi mtafuta-kama utataka nikupe ujaribu. Nilichojifunza hii kitu haina formula)
Kweli mkuu unachosema haina formula kabisa kila mtu kapona kwa style yake sijui kwann!
Japo inawezekana sbb chanzo cha vidonda sio kimoja
Zipo sabb 2 ,labda ndo maana tunatofautiana Kwenye kupona!
Ngoja nimalize nachofanya
 
Mkuu ukipona lete mrejesho maana mimi mwenyewe nina shida ya kupata kiungulia baada ya kula...! Nikaenda kupima endoscopy nikaonekana nina vimchubuko kwa mbali...!
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
em nichek wasap apo nikupe dawa +243811176110
 
Mkuu ukipona lete mrejesho maana mimi mwenyewe nina shida ya kupata kiungulia baada ya kula...! Nikaenda kupima endoscopy nikaonekana nina vimchubuko kwa mbali...!
We km mimi kiungulia kiko kwa kiasi kubwa hata nile nn,ila nikipima naabiwa vidonda vipo kwa mbali !
Ss subiri nimalizie hii dose wiki ijayo nije hapa na mrejesho km nitafanikiwa au laa!
Ila sio kwa majani yaliyoletwa hapa,nimeshindwa kuyapata exactly yanayosemwa hapa
 
Ajitahidi kula dengu badala ya maharage atanishukuru baadae.
 
Unga wa mlonge changanya na unga wa tunda ya avocado.
Kijiko kimoja kwenye maji vugu kikombe kimoja..mara 2 kwa siku..siku 7-10 unapona
 
Kwa yeyote anayeumwa vidonda vya tumbo atumie dawa hii.

Chukua vifuu vya nazi, vichome viwe kama mkaa mweusi (visiwe majivu) halafu visage uchanganye na chumvi ya mawe.
Note: Visage pamoja na chumvi ya mawe. Chumvi iwe kiasi tu isizidi kiasi cha kuleta maudhi kwa mtumiaji.

Matumizi:
Lamba kiasi cha nusu kijiko kutwa mara tatu (asubuhi nusu kijiko, mchana nusu kijiko, na usiku unapotaka kulala nusu kijiko).

Akipona aje ashuhudie hapa jukwaani. Hayo ndio yatakuwa malipo ya gharama za kumwelekeza dawa hii.
 
Mbona wenzenu wanaweka hapa dawa kwann nyie mnataka mfuatwe pm?au ndo hela?
kuna tofaut kat ya kuhitaj kufundishwa dawa na kuhitaj dawa !

alaf swala la hela kweny tiba huwa haliepukiki ata ukielekezwa dawa bure lazm vifaa hitajika vitahusisha gharama tu mzee !

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Hatu wengi wa humu kwenye jf wanajua kwamba kupata tiba ni bure hiyo sahau,hata ukielekezwa lazima utumie gharama kupata hiyo dawa,sio jambo rahisi kihivyo,watu wanasubir kuelekezwa dawa huku tatzo linazid kuwa kubwa,tutasubiri sana
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
Pole kwa changamoto, Nimejaribu kupitia commetee za wadau wote Ni Ushauri mzuri lakini Mimi mwenyew nilikuwa mhanga was tatizo hilo 2015-2017 Nilitumia dawa kadha wa kadha Kama Pantoprazole, Omeprazole,Heligokit nk lakin hazikufanya chochote. Lakini niliweza kupona kwa tiba mbadala. Kama utapenda tuwasiliane kwa namba 0678211747
 
Dawa ya vidonda vya tumbo ni mkojo wako tuu
Kuhusu mkojo sidhani, labda mkojo wangu unashida maana mm Mkojo nishakunywa tena kila siku nilikuwa napiga glass 3 ndani ya siku 15, yaani siku 5 zingine zaidi niliongezea.

Maana chief mkwawa alisema siku 10 kama sijakosea. Na shida bado ilibaki pale pale.
15-16-42-p06m3jjz.jpg

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Uwezi kuamini ila nakuambia ukweli mkojo dawa ya vitu Vingi,wewe kunywa tu kila siku mkojo wa asubuhi mapema kabla ya kula chochote
 
Kuhusu mkojo sidhani, labda mkojo wangu unashida maana mm Mkojo nishakunywa tena kila siku nilikuwa napiga glass 3 ndani ya siku 15, yaani siku 5 zingine zaidi niliongezea.

Maana chief mkwawa alisema siku 10 kama sijakosea. Na shida bado ilibaki pale pale.View attachment 2145757

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Sasa kila siku glass 3 umekosea,ni hivi kunywa glass moja asubuhi mapema kabla ya kula chochote,glass moja siku moja,kinachotakiwa ni mkojo wako ule wa kwanza unapohamka asubuhi,kunywa kwa miezi 2 nakuhakikishia unapona kabisa,alafu mkojo unakufanya Uzeeki mapema,
 
Kuhusu kuzeeka mbona nishazeeka mkuu siunaona mwenyewe nilivyo
51441860_148296399518060_8602093543453460606_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom