Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

Maziwa ya mbuzi tumia kwa kuyachemsha kunywa bila kuunga chochote.
Ukitumia na karanga mbichi nyeupe utapata matokeo chanya zaidi.
 
Mambo, mi nlikua nazo nilikua nalia kama dada yako... sijui zake zipo stage gan coz i hear kuna wanaotapika damu so at first nlikua nakunywa maziwa mixed na asali na kiini cha yai zinapoa in 10mins hvi... ila nikaona attacks zinazidi so nikamtafuta Rahab wa Fiterawa, honestly sijui kama ni dawa au ni vyakula that helped ila nimepona japo dawa sikumaliza but i was strict na yale masharti.... matatizo mengi ya vidonda ni acid inakua imezidi sana mwilini so inabidi detox ya mwili ifanyike.

Niliacha: wali, nazi, jamii zote za kunde, maziwa, mayai, nyama nyekundu, nyanya, pilipili, ndimu, mchcha, kisamvu, mboga zote zenye kijani kibichi,ndizi aina zote, chips,mihogo au chapati, karanga, korosho,maembe, nanasi, chungwa, passion, matunda yenye acid na mbegu nyingi kama mapera, no alcohol, no vinywaji vya baridi, hamna soda wala juice za matunda yaliyokatazwa, mtindi, uji wa ulezi, majani ya chai, kahawa, chumvi nyingi na magadi, usitumie dawa zenye acid, sulphur wala caffeine no sigara.

VINAVYOFAA:
Asubuhi:
Chai ya Soya au
Mchaichai

VITAFUNWA
mkate, andazi au vitumbua- atafune sana kabla ya kumeza

Mchana/Jioni
Ugali laini, viazi mviringo vya kuchemsha au tambi

Mboga
Kbichi, bamia, nyama nyeupe ila no dagaa

Carrot, vitunguu maji na saumu, hoho,

Matunda: tango, papai, tikiti na parachichi

Vinywaji: maji na juisi za matunda tajwa hapo juu

Asikae na njaa muda mrefu, ale kwa wakti na atafune vizuri aache stress...

Nimetype mpaka vidole vinauma. All the best kwake... kwa maswali pia nipo. Mpe pole hayo maumivu nayajua jamani
Duh
Hasa mtu utakula nn kwa style hii?
Daktari mwingine anasema ule mboga za kijani hapa naona haitakiwi!
Aisee,sijui nifanyeje,ninateseka mno!
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.

Nitafute nikupatie dawa rafiki
 
Duh
Hasa mtu utakula nn kwa style hii?
Daktari mwingine anasema ule mboga za kijani hapa naona haitakiwi!
Aisee,sijui nifanyeje,ninateseka mno!

Pole mama, kuna mtu alinipa no ya mtu kipindi naumwa alisema alimsaidia mama yake (simjui na wala sijawahi mtafuta-kama utataka nikupe ujaribu. Nilichojifunza hii kitu haina formula)
 
Maziwa ya mbuzi tumia kwa kuyachemsha kunywa bila kuunga chochote.
Ukitumia na karanga mbichi nyeupe utapata matokeo chanya zaidi.
Duh kuna maziwa ya mbuzi?
Hivi huwa yapo na yanauzwa kabisa? Sijawahi sikia
 
Simple dawa ya vidonda vya tumbo Ni baking powder ya chapa mandazi etc au baking soda..Shs 700 tu dukani..amimine kidogo tu mkononi alambe asubuhi mchana na jioni kwa siku chache tu tatizo litakuwa historia ..utakuja hapa kuleta mrejesho..baking powder Ina kitu kinaitwa Bicabornate of soda imendikwa kwenye box lake .. Bicabornate of soda ikiingia mwili ikikutana na acid tumboni inabadilisha na kuwa alkaline...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upo sawa, but iwe Pure Bicabornate of soda isichanganywe na mchanganyiko mwingine.
 
Habari wakuu

Nina Dada yangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo ,huwa tumbo linamuuma mpaka namuonea huruma ,analia kama mtoto mdogo ,anasema anahisi tumbo linawaka moto hatarii ..!

Kwa anayejua dawa wakuu ni nini, kupunguza maumivu au tiba take kabisa msaada tafadhari.
1. Chukua Asali mbichi, samli pure, changanya nusu kwa nusu, atumie vijiko viwili asubuhi, mchana na usiku wakati wa kulala.

2. Chukua papai bichi, likate vipande vidogo vidogo bila kumenya, usitoe mbegu. Chukua maji lita 5, weka hivyo vipande na mbegu. Funika na acha siku tatu, chuja na anzw kunywa glass moja asubuhi, moja jioni. (Vumilia uchachu na halufu kidogo ya fermentation)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom