Hatari sana Mkuu, tatizo ukiwa bado kijana barobaro unaona kama bado uko na time yakuendelea kudemka.Kula bata sana, jirushe sana, furahia ujana wako sana.
Usisahau kuwekeza kwa ajili ya 60+, sisi wazee tunaona jinsi hali ilivyo, watoto tuliozaa hawajawahi kutusaidia maana nao life linawapiga daily.
Nyie mliozalowa 70+ na 80+ jiandaeni, uze sio mchezo! Usije kuishia kutoa laana kwa watoto.
Hakika viungo vinakuwa fit inakuepusha na magonjwa ya hapa na pale.Wengi wamepoteza uwezo wa kuji-limit nadhani ni kutokana na malezi ya kileo,kila kitu binadamu anayejielewa lazima ajue kina kiasi namshukuru Mungu binafsi upande huu nime-win.
Pia mazoezi ni muhimu sana maisha ya ku-relax hayajawhi kuwa maisha.
Sio poa mkuu, 20,30 na 40 zinapita kama maji mkuu. Unashangaa tu 50 hii hapa, mara paap 60.Hatari sana Mkuu, tatizo ukiwa bado kijana barobaro unaona kama bado uko na time yakuendelea kudemka.
Na wakaka mbona umewasahauNawaonea huruma dada zangu wanaotoa Tigo,watawapa tabu wajukuu kuwavalisha nepi maana mpaka wazeeke😀...
Infact Hakuna mtu anayetaka kuzeeka Zama hizi mkuu
Acha kurekisha maisha it meant to beSio poa mkuu, 20,30 na 40 zinapita kama maji mkuu. Unashangaa tu 50 hii hapa, mara paap 60.
Makosa ya 20 na 30 yanarekebishwa kwenye 40 na 50. Short of that ni uzee wenye majuto.
Na wale wa 90’s unawashauri vipi mkuu? 😁Kula bata sana, jirushe sana, furahia ujana wako sana.
Usisahau kuwekeza kwa ajili ya 60+, sisi wazee tunaona jinsi hali ilivyo, watoto tuliozaa hawajawahi kutusaidia maana nao life linawapiga daily.
Nyie mliozalowa 70+ na 80+ jiandaeni, uze sio mchezo! Usije kuishia kutoa laana kwa watoto.
Correct Mkuu. Vijana wengi hawawezi kuelewa hii instead wataona kama unawapangia maisha furthermore wataona kama wamekuzidi namna ya kufikiri.Sio poa mkuu, 20,30 na 40 zinapita kama maji mkuu. Unashangaa tu 50 hii hapa, mara paap 60.
Makosa ya 20 na 30 yanarekebishwa kwenye 40 na 50. Short of that ni uzee wenye majuto.
Acha upumbavu wa kulaumu watuHii ni mtu binafsi Mkuu so kupanga ni kuchagua.