MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 276
- 376
Hali inshakuwa mbaya hii leo covid, kesho utasikia omicronic imefika muda sasa nimeamua kufanya maamuz magumu, nataka kuchukua changu mapema(MKOPO WA BANK) Maana sijui ndo mwisho wa dunia umekaribia mambo yamekuwa hayaeleweki kabsa, nimewaza naeza kufa bila hata kukopa bank wakati fursa hiyo ninayo.
Hivyo wakuu wenye expirience ya MIKOPO naomba mnijuze benk ipi yenye riba ndogo kwenye makato ya mshahara kila mwezi. Nawasilisha.
Hivyo wakuu wenye expirience ya MIKOPO naomba mnijuze benk ipi yenye riba ndogo kwenye makato ya mshahara kila mwezi. Nawasilisha.